Uzoefu wa Kifahari wa hali yajuu

Mahali Ambapo Faraja Inakutana na Fahari

Vyumba vyenye Hadhi ya Juu

Utulivu wa Kweli 

Huduma za Kipekee (Premium)

Furahia huduma zetu

Karibu Goldenpeak Hotel

Historia ya Ukamilifu,
Sanaa ya Ukarimu

Tangu kuanzishwa kwetu, Goldenpeak Hotel imekuwa kielelezo cha juu cha malazi ya kifahari na utulivu wa kweli. Goldenpeak Hote ni kituo ambapo ndoto zako za mapumziko zinatimizwa kwa usahihi wa hali ya juu na umakini wa kipekee kwa kila huduma.

Kila kona ya hoteli yetu imesanifiwa kuchanganya utamaduni wetu thabiti wa ukarimu wa Kitanzania na viwango vya kimataifa vya kisasa, ikikupa mazingira bora.

Ubora wa Juu 🌟

Viwango vya hali ya juu katika kila huduma yetu.

Ulinzi & Faragha 🛡️

Mazingira salama  na yenye privacy kwa utulivu wako.

Ukarimu Safi ❤️

Wafanyakazi wataalamu waliojitolea kwako.

Vyumba na Suites 🛏️

Malazi Yenye Viwango vya Juu Nchini

Kila chumba kimeundwa kwa ustadi mkubwa ili kutoa utulivu wa kipekee, ukiwa na vifaa vya kisasa na mtazamo wa kuvutia.

Maarufu Zaidi

The Goldenpeak Executive Suite Room
 ✨

Tsh 100,000 / Usiku

Inajumuisha sebule kubwa binafsi, huduma ya chakula chumbani masaa 24, bafu la marumaru lenye Jacuzzi, na madirisha makubwa yanayoonyesha mandhari nzuri ya nje.

King Bed Agiza Sasa

Executive Deluxe Room ✨

Tsh 80,000 / Usiku

Weka Akiba →

Executive Suite Room  ✨

Tsh 100,000 / Usiku

Weka Akiba →

Standard Room 🌟

Tsh 50,000 / Usiku

Weka Akiba →
Ukarimu Wenye Uwajibikaji 🌿

Mchango Wetu kwa Jamii na Mazingira

Uhifadhi wa Mazingira (Eco-Luxury)

Tumejitolea kupunguza athari za mazingira kwa kutumia mifumo ya kisasa ya nishati ya jua kwa ajili ya maji ya moto, taa za kuokoa nishati, na uvunaji wa maji ya mvua. Pia, tumeondoa kabisa matumizi ya plastiki za matumizi ya mara moja (Single-use plastics) katika maeneo yote ya hoteli.

100%

Nishati Safi & Safirishaji Salama

Kuinua Uchumi wa Jamii Yetu

Zaidi ya 95% ya wafanyakazi wetu wanatoka kwenye jamii inayotuzunguka. Vilevile, kahawa, matunda, na mboga mboga zote zinazoandaliwa kwenye migahawa yetu zinanunuliwa moja kwa moja kutoka kwa wakulima wadogo wa ndani iti kukuza kipato cha familia zao.

95%

Wafanyakazi na Bidhaa za Ndani

Ushuhuda Halisi

Wageni Wetu Wanasema Nini

Huduma ya hapa ni ya kipekee kabisa! Chumba kilikuwa safi sana na kitanda kina faraja kubwa. Mgahawa wao una vyakula vitamu sana, hakika nitarudi tena kila nikitembea mkoani.

AM

Ananilea M.

Mteja Aliyethibitishwa

Nalipenda sana suala lao la kutunza mazingira na kutumia nishati ya jua. Presidential Suite yao ina hadhi kubwa sana inayolingana na gharama yake. Highly recommended!

JK

Juma K.

Mjasiriamali

Wafanyakazi wana tabasamu na wanajali sana. Nilichelewa kufika (Check-in) lakini mapokezi yalikuwa tayari kunisaidia kwa haraka. Spa yao ni nzuri sana baada ya safari ndefu.

EN

Emmanuel N.

Mgeni wa Kimataifa

Unajibu Maswali Yako

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Matukio ya Kifahari

Mikutano ya Biashara
& Sherehe za Kumbukumbu

Kuanzia mikutano midogo ya bodi hadi semina kubwa za kimataifa na sherehe za harusi zenye mvuto, kumbi zetu zimesanifiwa kisasa zikiwa na mifumo ya kisasa ya sauti, projekta, na mtandao wa kasi wa Wi-Fi.

Timu yetu ya wataalamu wa kuandaa matukio itashirikiana nawe bega kwa bega kuhakikisha kila kitu kinaenda kwa usahihi wa hali ya juu, pamoja na maandalizi ya chakula na vinywaji kutoka kwa wapishi wetu wakuu.

Ofa za Msimu

Vifurushi na Ofa Maalum

Kifurushi Maarufu

Kifurushi cha Fungate (Honeymoon)

Siku 3 kwenye chumba cha Executive, chupa ya divai (wine), kiamsha kinywa kitandani, na huduma ya massage kwa wapendanao.

Tsh 150,000 / Usiku Angalia Ofa →
Ofa ya Wikiendi

Mapumziko ya Wikiendi (Weekend Escape)

Punguza msongo wa mawazo wa wiki nzima. Pata punguzo la 20% ukikaa kuanzia Ijumaa hadi Jumapili, pamoja na kuchelewa kutoka (Late Check-out).

Punguzo la 20% Angalia Ofa →
Jarida Letu

Matukio & Habari Mpya

Fuatilia habari za hivi punde, matukio maalum yanayokuja, na makala za kusisimua kutoka hapa hotelini kwetu.

UPEKEE WETU

Gundua Maana Halisi
ya Ukarimu wa Kifahari

Tunajivunia kutoa uzoefu wa kipekee unaochanganya faraja ya hali ya juu, teknolojia ya kisasa, na huduma inayojali utu Kila undani wa safari yako umeandaliwa kwa ustadi mkubwa ili kukupa amani ya moyo.

Eneo Mkakati na Tulivu

Tunapatikana sehemu salama, tulivu na inayofikika kwa urahisi kutoka katikati ya jiji.

Huduma ya Binafsi ya 24/7

Wafanyakazi wetu wapo tayari kukuhudumia kwa tabasamu na weledi wakati wowote ule.

Usalama Uliothibitishwa

Ulinzi wa kisasa wa masaa 24, kadi za kidijitali za milango, na mifumo ya CCTV imara.

Uzoefu Bora wa Chakula

Wapishi wetu wakuu wanaandaa milo safi ya asili na ya kimataifa kwa viwango vya juu.

Sifa Mpya ya Kipekee

Maelezo mafupi ya kwanini mteja achague huduma hii badala ya kwingine.

Sifa Mpya ya Kipekee

Maelezo mafupi ya kwanini mteja achague huduma hii badala ya kwingine.

HUDUMA ZA KIWANGO CHA JUU

Zaidi ya Malazi: Pata Uzoefu Kamili

Kila idara imeandaliwa kwa ustadi wa hali ya juu ili kuhakikisha safari yako inakuwa ya mafanikio, iwe ni kwa ajili ya mapumziko, biashara, au sherehe.

01. Culinary Excellence

Mgahawa wa Kimataifa & Baa

Wataalamu wetu wa mapishi wameandaa menyu kabambe inayochanganya ladha za kiasili za Kitanzania na vionjo vya kimataifa.

02. Executive Events

Ukumbi wa Mikutano & Sherehe

Unapanga mkutano wa bodi, semina, au harusi ya kifahari? Ukumbi wetu una vifaa vya kisasa vya sauti.

03. Pure Relaxation

Spa, Massage & Bwawa la Kuogelea

Ondoa uchovu wa safari au majukumu ya wiki kwenye kituo chetu cha afya na burudani.

Gundua Mazingira

Shughuli & Vivutio vya Karibu 🌿

Tupo karibu na maeneo mazuri na ya kihistoria. Timu yetu inaweza kukuandalia safari maalum za kutembelea vivutio hivi kwa urahisi.

Dakika 25 kutoka Hotelini

Mwambao wa Ziwa Victoria

Kufika katika fukwe na maeneo ya uvuvi wa jadi ya Ziwa Victoria yaliyo karibu na Bunda (kama vile eneo la Kibara au makazi ya pembezoni mwa ziwa), inachukua takriban dakika 25 hadi 35 kwa usafiri wa gari

Hifadhi ya Taifa

Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

Hii ndiyo siri kubwa ya Golden Peak! Ndani ya nusu saa tu  za kuendesha gari, utakuwa tayari umeingia lango la magharibi la Serengeti kushuhudia wanyama wakubwa na viumbe wa ajabu.

Utamaduni & Mawe

Uzoefu wa Kitamaduni wa Wazanaki

Hutaji kusafiri mbali kujifunza maisha ya wenyeji. Ndani ya dakika 5 hadi 10 tu kwa miguu au usafiri wa karibu kutoka hotelini, utakuwa katikati ya jamii ukitofurahia vyakula vya asili na tamaduni zao.

Kila Kitu Kimeandaliwa

Faraja Iliyopo Ndani ya Chumba

Huduma Mpya

Andika maelezo mafupi kuhusu huduma hii ndogo inayopatikana ndani ya chumba.

Huduma Mpya

Andika maelezo mafupi kuhusu huduma hii ndogo inayopatikana ndani ya chumba.

Huduma Mpya

Andika maelezo mafupi kuhusu huduma hii ndogo inayopatikana ndani ya chumba.

Huduma Mpya

Andika maelezo mafupi kuhusu huduma hii ndogo inayopatikana ndani ya chumba.

Huduma Mpya

Andika maelezo mafupi kuhusu huduma hii ndogo inayopatikana ndani ya chumba.

Huduma Mpya

Andika maelezo mafupi kuhusu huduma hii ndogo inayopatikana ndani ya chumba.

Pata Punguzo la 10%

Jiunge na Jarida Letu la Ofa Maalum

Sajili barua pepe yako sasa ili uwe wa kwanza kupokea taarifa za ofa za msimu, vifurushi vya sikukuu, na matukio ya siri hotelini kwetu.

Wataalamu Wetu

Kutana na Timu Inayoongoza

Nyuma ya kila uzoefu wa kipekee na huduma ya daraja la kwanza, kuna timu thabiti ya viongozi na wabunifu wanaofanya kazi usiku na mchana kuhakikisha unajisikia upo nyumbani.

Boniphace 

Manager

Naila Mashaka

Msimamizi wa Mifumo (Lead Programmer)

Eliamina

Mhasibu Mkuu (Chief Accountant)

Ushirikiano Imara

Washirika & Wateja Wetu

Tunajivunia kufanya kazi bega kwa bega na taasisi na makampuni yanayoongoza katika kuleta mabadiliko ya kidijitali na kutoa huduma bora.

Bopama Digital Technology

Bopama Digital Technology

Mshirika wa Teknolojia

Alfa Microcredit

Alfa Microcredit

Mshirika wa Kifedha

Inyalala Security

Inyalala Security

Mshirika wa Usalama

Tupo Hapa Kwajili Yako

Wasiliana Nasi Moja kwa Moja 📞

XVR8+W9 Bunda

+255745688469

info@goldenpeakhotel.co.tz